top of page

Tanzania Livelihood Skills Development and Advocacy FOUNDATION

Sisi ni nani ?

TALSDA Foundation imeanzishwa mwaka 2007 na kundi la watu ambao wana maono yanayo fanana. Ni shirika lisilo na mpango wa kupata faida.  Shirika limesajiliwa na wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto. Baada ya usajili shirika limekuwa na kundi  la watu waliobobea katika kuleta maendeleo ya jamii.

Malengo

Kuwejengea uwezo jamii ya makundi ya pembezoni ukijumuisha yatima, Watoto walio katika Mazingira hatarishi, Wajane na watu wanaöishi na virusi vya ukimwi.

 

Tunawezesha makundi hayo kupata maarifa ambayo yatawawezesha kupambana na umasikini, kufanya maamuzi na kufanya  shughuli za maendeleo.

 

Pia tunashirikiana na viongozi wa serikali za Mitaa/ vijiji na wadau wengine katika ngazi zote katika kuhudumia watoto.

 

Pia tunalenga  kuongeza uelewa wa umma (watu) kuhusiana na kupambana na changamoto za kila siku ili kuwa na Tanzania yenye jamii iliyoendelea.

 

Taasisi ya maendeleo ya stadi za maisha na utetezi Tanzania

 

Empowering Orphans and other Vulnerable Persons to cope with challenges

 

 

Ushirikiano
KOCISCO
Andiko
  • YouTube - Black Circle
  • Facebook - Black Circle
  • Twitter - Black Circle
bottom of page